Zao la biashara
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mazao ya biashara)
Zao la biashara ni chochote kile kinachozalishwa na binadamu si kwa ajili ya matumizi yake na ya familia yake, bali kwa ajili ya kukiuza na kupata pesa zitakazomwezesha kujiendeleza kwa namna yoyote: masomo, afya n.k.
Mazao maarufu ya biashara Afrika Mashariki ni miwa, pamba, kahawa, pareto, chai n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zao la biashara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |