Nenda kwa yaliyomo

Thoughts and prayers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mawazo na maombi)

Thoughts and prayers ni maneno yanayotumiwa mara kwa mara hasa nchini Marekani kama rambirambi baada ya matukio ya kutisha, kama vile maafa ya asili au mauaji.[1].

Matumizi ya maneno hayo yamekosolewa hasa yakitumiwa baada ya mauaji wa watu wengi kwa bunduki au ugaidi[2][3][4][5][6]. Wakosoaji huona kwamba "mawazo na maombi" hutolewa kama mbadala wa hatua halisi kama vile kudhibiti uenezaji wa silaha. [7].

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-31. Iliwekwa mnamo 2022-08-04.
  2. https://www.washingtonpost.com/video/politics/mark-kelly-thoughts-and-prayers-from-politicians-arent-going-to-stop-the-next-shooting/2017/10/02/1c3589a2-a797-11e7-9a98-07140d2eed02_video.html
  3. http://thehill.com/homenews/senate/353466-dem-rips-colleagues-for-offering-thoughts-and-prayers-your-cowardice-to-act
  4. https://www.washingtonpost.com/news/opinions/wp/2017/10/02/thoughts-and-prayers-again/
  5. http://www.slate.com/blogs/browbeat/2017/10/02/bojack_horseman_s_thoughts_and_prayers_episode_skewers_rote_responses_to.html
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-03. Iliwekwa mnamo 2022-08-04.
  7. http://www.newsweek.com/mandalay-bay-shooting-las-vegas-politicians-thoughts-prayers-675461