Maureen Koech
Maureen Koech (alizaliwa 21 Mei 1989) ni mwigizaji, mwandishi wa nyimbo na mwimbaji wa Kenya. Anatambulika ndani ya Kenya pamoja na kazi zake KTN, Lies that Bind.[1]
Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]
Maureen Koech alikulia Nairobi, alienda shule ya upili iitwayo Nakuru kwa ajili ya elimu yake ya sekondari. Badaaye alijiunga Strathmore University kati ya mwaka 2009 na 2013, ndipo alipoandikishwa kusomea “Business Information and Technology’’ (BBIT) na baadaye aliweka ubia katika uugizaji .[2][3]
Kazi[hariri | hariri chanzo]
Kazi ya uigizaji[hariri | hariri chanzo]
Kazi yake ya mwanzoni ; Strathmore University, Changing Times[hariri | hariri chanzo]
Maureen alianzaa kazi yake ya uugizaji akiwa ana igiza jukwaani katika Muungano wa Francasie .Akiwa na hofu kubwa juu ya idadi kubwa ya waigizaji , kulikuwa na Televisheni ya Kikenya ambayo ilikuwa ikionyesha mwendelezo wa zawadi za washindi bora mwaka 2012 Kalasha filamuTV . the.[4] Baada ya kujiunga na chuo kikuu cha Strathmore mnamo mwaka 2009, alijiunga katika shule ya sanaa ya uigizaji Strathmore ambapo alishiriki katika shughuli za uigizaji.[5] [6]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Lebogang Tsele. Maureen Koech's biography. Africa Magic. Jalada kutoka ya awali juu ya March 2, 2016. Iliwekwa mnamo September 29, 2015.
- ↑ Mokko LinkedIn Digg (March 2020).[dead link]
- ↑ Binding passion. Standard Media (SDE) (July 25, 2012). Iliwekwa mnamo October 2, 2015.
- ↑ Maureen Koech's bio. Stage 32. Iliwekwa mnamo October 2, 2015.
- ↑ DRAMSCO. DRAMSCO Youtube. Iliwekwa mnamo October 2, 2015.
- ↑ Maureen Koech feeling like she's the best. Zuqka Nation. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-10-04. Iliwekwa mnamo October 1, 2015.
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maureen Koech kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |