Nenda kwa yaliyomo

Mauaji ya gereza la Berrouaghia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mauaji ya wafungwa katika gereza la Berrouaghia yalitokea tarehe 14 Novemba mwaka 1994, baada ya jaribio la kutoroka gerezani Berrouaghia, Algeria.

Idadi ya waliouawa ina tofauti kubwa sana: Serikali ilitoa idadi ya watu wanane waliouawa, huku wengine wakisema idadi hiyo ilikuwa 30 au zaidi, na gazeti la El Watan baadaye likitoa idadi ya watu 200[1].

  1. "مجزرة سجن البرواقية | نوفمبر 1994 | بقلم النقيب أحمد شوشان – قناة الجزائر". 2020-12-21. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-21. Iliwekwa mnamo 2023-03-10.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mauaji ya gereza la Berrouaghia kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.