Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Matty Daizan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Matty Daizan)

MATHIAS ERASMO MSEMWA (Matty Daizan) Alizaliwa 5 march 2001(20+) Huko wilayani mbinga,Mkoa wa Ruvuma. Maisha yake ya utotoni amekulia katika familia ya wazazi wote wawili yaani Baba na Mama

Baba:Erasmo Mathias Msemwa(Died 2023)

Mama:Piensia Paul Msemwa

Akiwa na kaka yake wa kwanza Switbert Erasmo Msemwa

Na wadogo zake wawili Gloria Erasmo Msemwa na Tarisicius Erasmo Msemwa

Maisha yake ya utoto yalikuwa na ya utundu sana,na Ubunifu ikiwemo kuumba vitu vingi ambavyo viliwastajabu watu wengi sana.Alikuwa na mawazo mengi ya hali ya juu hususani maswala mazima ya Technology na hivyo wengi kumuona kwa upande mwingine kama mtoto mtundu sana kwa sababu ya kuto muelewa

Amesoma elimu ya msingi katika shule ya msingi Mazoezi-Matogoro(Songea),Elimu ya sekondari Amesoma Lighano seminary (Namtumbo) na Taifa foundation(Songea )na elimu ya Chuo cha diploma ya uafisa tabibu SONGEA COTC(Songea)

Alipo maliza tu kidato cha nne(2018) alianza kujiusisha zaidi na blogging na youtube badae akajikita na Blockchain technology hasa Cyptocurrency-Bitcoin na badae akiwa chuoni mwaka wa pili alianza kujihusisha na biashara ya masoko makubwa ya kifedha ya kidunia hususani FOREX INDEX hapo ndipo alipoanza kuona nuru ya kuipenda techolojia katika maisha yake maana licha ya kuhifurahia teknolojia lakini pia inamuingizia kipato kikubwa sana.

Mwaka 2019 akiwa anaenda kuanza chuo Songea cotc kusomea ordinary Diploma in Clinical medicine ndipo alipoanza kuzama kwenye uwanja wa Teknolojia na kuanza kutengeneza "apps" za simu za mkononi na kujifunza mengi kuhusu teknolojia ikiwemo Ethical hacking na Coding