Nenda kwa yaliyomo

Matthew Birir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Matthew Kiprotich Birir (alizaliwa 5 Julai 1972) ni mwanariadha wa zamani nchini Kenya na mshindi wa mbio za mita 3000 kuruka viunzi na maji katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1992.[1]

  1. "Matthew Birir".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matthew Birir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.