Nenda kwa yaliyomo

Masooma Ranalvi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Masooma Ranalvi ni mwanaharakati wa kupinga ukeketaji kutoka Uhindi.

Ndiye mwanzilishi wa We Speak Out,[1] shirika lililojitolea kusaidia wanawake kutoka katika jamii ya Bohra kutoroka au kupona katika ukeketaji.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Masooma Ranalvi – Fighting The Odds Of Female Genital Cutting In India". Life Beyond Numbers. Iliwekwa mnamo 2021-03-29.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
  2. https://msmagazine.com/author/mranalvi/
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Masooma Ranalvi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.