Nenda kwa yaliyomo

Mary Burnett Talbert

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Mary Burnett Talbert
Mary Burnett Talbert
Amezaliwa17, 1866
AmefarikiOktoba 15, 1923
Kazi yakeMwanaharakati


Mary Burnett Talbert (alizaliwa Mary Morris Burnett; Septemba 17, 1866 - Oktoba 15, 1923) alikuwa mzungumzaji, mwanaharakati wa kura kwa wanawake na mreformisti Mmarekani.

Mnamo 2005, Talbert alipokea heshima ya kuingizwa katika Ukumbi wa Umaarufu wa Wanawake wa Kitaifa.[1][2]

  1. https://www.womenofthehall.org/inductee/mary-burnett-talbert/
  2. https://awpc.cattcenter.iastate.edu/directory/mary-burnett-talbert/
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mary Burnett Talbert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.