Marubi Palace Gardens Range Rear Lighthouse

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marubi Palace Gardens Range Rear Lighthouse ni mnara wa taa uliopo katika Bustani ya Marubi Palace katika Mji Mkongwe, Zanzibar, Tanzania[1]. Mnara wa taa unapatikana kwa ajili ya kusaidia meli zinazojaribu kutia nanga kwenye bandari ya Mji Mkongwe[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Kiungani Range Rear Lighthouse - InfoDesti"
  2. "Marubi Palace Gardens Range Rear Light - ARLHS ZAN-004"