Nenda kwa yaliyomo

Martin Lumbreras Peralta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Martin Lumbreras Peralta

Martín Lumbreras y Peralta (anajulikana pia kama Martín de San Nicolás; 159125 Agosti 1624) alikuwa mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka Uhispania.

Alitangazwa mwenye heri mnamo Aprili 1989 na Papa Yohane Paulo II.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.