Martin Bitijula Mahimba
Mandhari
Martin Bitijula Mahimba ni mwanasiasa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mwanachama wa Vuguvugu la Kijamii la Upyaji.
Tangu tarehe 6 Februari 2007, amekuwa Waziri wa Masuala ya Jamii na Mshikamano wa Kitaifa katika serikali ya Antoine Gizenga.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Martin Bitijula Mahimba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |