Mark Rutte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mark Rutte

Mark Rutte (amezaliwa 14 Februari 1967) ni mwanasiasa kutoka Uholanzi, na ni Waziri Mkuu wa Uholanzi tangu 14 Oktoba 2010.

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mark Rutte kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.