Marjorie Mbilinyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marjorie Jane Mbilinyi (alizaliwa 15 Julai 1943) ni mwanazuoni, mwanaharakati na mfeminia ambaye amejihusisha na asasi mbali mbali za kifeminia Tanzania ikiwemo Tanzania Gender Networking Program maarufu kama TGNP. Alifundisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia mwaka 1967 hadi 2003 alipostaafu.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. udsm.ac.tz/web/index.php/prominent-alumni/view?id=70 ilitazamwa tarehe 04 Mei 2024
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marjorie Mbilinyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.