Nenda kwa yaliyomo

Marie Thérèse Mbaïlemdana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marie Thérèse Mbaïlemdana ni mwanasiasa kutoka Chad ambaye alihudumu kama mwanamke wa kwanza kuwa meya wa jiji kuu la N’Djamena.

Muda wake madarakani ulikuwa unaonyeshwa na madai ya ufisadi. Tarehe 3 Agosti 2011, Mbaïlemdana pamoja na maafisa wake wawili - mkurugenzi wa masuala ya fedha na mkusanyaji wa manispaa walikamatwa na polisi na kupelekwa katika kituo na kuwekwa rumande cha N'Djamena baada ya kushtakiwa kwa ubadhirifu wa fedha za umma na mali kiasi cha CFA 1.2. Aliwekwa rumande kwa miezi mitatu kabla ya kuachiliwa kwa sababu za afya mwezi Oktoba 2011.[1]>[2]


  1. "Le Cabinet Civil". Présidence de la République du Tchad (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-01-12. Iliwekwa mnamo 2024-01-12.
  2. "Le grand nettoyage de N'Djamena – DW – 04/06/2010". dw.com (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-01-12.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marie Thérèse Mbaïlemdana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.