Maria Teresa Agnesi Pinottini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maria Teresa Agnesi Pinottini.

Maria Teresa Agnesi Pinottini (17 Oktoba 1720 - 19 Januari 1795) alikuwa mtunzi wa nchini Italia. Japokuwa alikuwa maarufu sana kwa utunzi wake, alikuwa pia mpiga kinanda na mwimbaji shupavu.[1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sven Hansell, Robert L. Kendrick. "Maria Teresa Agnesi", Grove Music Online, ed. L. Macy (accessed February 11, 2006), oxfordmusiconline.com (subscription access only)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maria Teresa Agnesi Pinottini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.