Maria Goeppert-Mayer
Mandhari
Maria Goeppert-Mayer (28 Juni 1906 – 20 Februari 1972) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa Ujerumani na kuhamia Marekani mwaka wa 1930 baada ya kuolewa na Mmarekani Joseph Mayer. Hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1963, pamoja na J. Hans D. Jensen na Eugene Wigner alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maria Goeppert-Mayer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |