Marguerite Massart
Mandhari
Marguerite Massart (1900 – 1979) alikuwa mwanamke wa kwanza kuhitimu kama mhandisi nchini Ubelgiji. Alianzisha biashara ya kiwanda cha kufua chuma huko Gent na baadaye akaanzisha mradi wa kuondoa chumvi katika maji na paneli za jua za mwanzo kwenye hoteli ya kwanza katika Kisiwa cha Sal huko Cape Verde.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Gubin, Eliane (2006). Dictionnaire des femmes belges : XIXe et XXe siècles. Racine. OCLC 651897761.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marguerite Massart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |