Margit wa Hungaria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Margit wa Hungaria (1175-baada ya 1223) alikuwa malkia wa Bizanti kwa kuolewa na Kaisari Isaka II.

Binti wa kwanza wa mfalme Bela III wa Hungaria[1][2], aliolewa mara tatu na watawala mbalimbali ambao alizaliana na kila mmojawao watoto kadhaa, ambao baadhi yao wakawa wafalme vilevile.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Stephenson, Paul (2000). Byzantium's Balkan Frontier: A Political Study of the Northern Balkans, 900–1204. Cambridge University Press. p.283.
  2. Makk, Ferenc (1994). "III. Béla". In Kristó, Gyula; Engel, Pál; Makk, Ferenc. Korai magyar történeti lexikon (9–14. század) [Encyclopedia of the Early Hungarian History (9th–14th centuries)] (in Hungarian). Akadémiai Kiadó. pp. 91–92.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margit wa Hungaria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.