Margaret Nasha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Margaret Nasha
Nchi Botswana
Kazi yake mwandishi wa habari
Cheo mwandishi

Margaret Nnananyana Nasha Alizaliwa mnamo 6 Agosti 1947 [1][2] ni raia kutokea nchini Botswana mwanasiasa ambaye aliwahi kuwa katika orodha ya wasemaji wa Bunge la Botswana ya kutoka 2009 hadi 2014. Alikuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo.

Nasha alifanya kazi kama mwandishi wa habari na mtumishi wa umma kabla ya kuingia kwenye siasa, na pia alitumikia muda Botswana kama Kamishna Mkuu wa Uingereza. Aliingia katika Bunge la Kitaifa mwaka 1994, na baadaye akahudumu kama waziri katika serikali za Quett Masire na Festus Mogae. Napia ni mwakilishi wa Botswana katika demokrasia [BDP], Nasha alichaguliwa kuwa spika wa bunge baada ya uchaguzi mkuu Botswana wa mwaka 2009. Baada ya kugombana na Rais Ian Khama, apondipo akapoteza uteuzi wa uspika wa BDP kwa dhidi ya Gladys Kokorwe mnamo 2014, na mnamo mwaka 2016 hapo ndipo akajiunga na upinzani wa mapinduzi ya Demokrasia ya Botswana.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "About: Margaret Nasha". dbpedia.org. Iliwekwa mnamo 2021-05-22. 
  2. User, Super. "Elders stress need for social dialogue". www.thetswanatimes.co.bw (kwa en-gb). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-22. Iliwekwa mnamo 2021-05-22.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margaret Nasha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.