Maonyesho ya mavazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nataliya Gotsiy akionesha mavazi kwa ajili ya Cynthia Rowley, Spring 2007 New York Fashion Week
Wanamitindo wakiwa ndani ya mavazi ya Slava Zaitsev huko mjini Moscow, mnamo Januari 2007.

Maonyesho ya mavazi ni tamasha la kuvaa linaloandaliwa na wabunifu wa mavazi ili kuonesha mitindo yao mipya ijayo ya mavazi. Katika kuonesha mfano wa mavazi, wanamitindo wanatembea kwenye jukwaa huku wakionesha mavazi yaliyobuniwa na mbunifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maonyesho ya mavazi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.