Mangi Sina
Mandhari
Mangi Sina alikuwa Mangi wa Kibosho aliyepambana sana na Mangi wa Machame katika masuala ya mipaka. Pia alipambana na Wajerumani waliovamia Afrika Mashariki katika karne ya 19. Ni Mangi pekee wa Kichagga aliyetaka eneo la utawala wake lisiingiliwe na Wajerumani.[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ IPPMedia. "Mangi Sina Community Projects". IPPMedia. Iliwekwa mnamo 29 Novemba 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mangi Sina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |