Nabii wa uongo
Mandhari
(Elekezwa kutoka Manabii wa uongo)
Katika dini, nabii wa uongo ni mtu anayejidai kuwa na karama ya unabii lakini hakubaliwi na wale wanaomuita hivyo.
Anaweza kuwa nabii kweli, au kujidanganya au kudanganya kwa makusudi ili kujipatia sifa na mali.
Nje ya dini, mtu anaitwa hivyo kwa kutetea hoja au mpango ambao msemaji anaona ni mbaya.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |