Nenda kwa yaliyomo

Mama Tumaini (filamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mama Tumaini – Tumaini betyr håp (mama wa Matumaini)[1] ni filamu ya kuchekesha na kifamilia yenye maudhui ya Kinorwei na Kitanzania iliyochezwa mwaka 1986. Iliongozwa na kuandaliwa na Martin Mhando na Sigve Endresen. Stori ilihusisha nchi za Tanzania na Norwei. Filamu ilijihusisha na maudhui ya kiafrika na ilihusisha waigizaji na makundi ya uigizaji wa kiafrika.[2]

Filamu ilitengenezwa na kudhaminiwa na shirika la wakala na ushirikiano wa maendeleo wa Norwei.[3] Filamu hiyo haikuweza kuonyeshwa katika kumbi za kibiashara nchini Norwei lakini ilionyeshwa katika tamasha la kimataifa la filamu la Norwai lilolo fanyika katika mji wa Kristiansand mwaka 1986.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Gates, Henry Louis; Akyeampong, Emmanuel; Niven, Steven J., whr. (2011-01-01). Dictionary of African Biography (kwa American English). Oxford University Press. doi:10.1093/acref/9780195382075.001.0001/acref-9780195382075. ISBN 978-0-19-538207-5.
  2. "Nasjonalbiblioteket". www.nb.no. Iliwekwa mnamo 2022-08-08.
  3. "Nasjonalbiblioteket". www.nb.no. Iliwekwa mnamo 2022-08-08.
  4. "Nasjonalbiblioteket". www.nb.no. Iliwekwa mnamo 2022-08-08.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mama Tumaini (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.