Mama Sita (wimbo)
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
“Mama Sita” | ||
---|---|---|
Single ya Promoter Musa akimshirikisha Mayestron | ||
Imetolewa | 27 Mei, 2021 | |
Muundo | Upakuzi mtandaoni | |
Imerekodiwa | 2020 | |
Aina | pop | |
Urefu | 3:34 | |
Studio | MP Music Publishing Peloomic Inc | |
Mtunzi | Mayestron Promoter Musa Herbert Skillz | |
Mtayarishaji | Herbert Skillz Mayestron Promoter Musa | |
Video ya muziki | ||
"Mama Sita" katika YouTube |
Mama Sita ni wimbo wa msanii toka Uganda anajulikana kwa jina lake la hatua Promoter Musa, akimshirikisha msanii Mayestron kwenye sauti ya wimbo huo.
Wimbo huu umetayarishwa na mtayarishaji mkubwa nchini Uganda kwa jina kama Herbert Skillz, na bila kusahau Mayestron naye amechangiya kwenye ku rekodi sauti na kuchanganya. Wimbo huu ulirekodiwa mwaka wa mwanzoni mwa 2020 na ukatolewa mwaka wa 2021, Mei 27 kwenye mtandao wa Audiomack ndani ya week moja umevunja rekodi yakupata zaidi ya laki moja[1].
- ↑ "Usikilize wimbo wa Mama Sita Hapa". Audiomack.com. Iliwekwa mnamo 2021.
{{cite web}}
: Check date values in:|accessdate=
(help)