Malkia Oronsen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Malkia Oronsen ni orisha katika visasili vya Wayoruba. Alisadikiwa kuwa mke wa Olowo Rerengejen.

Sherehe ya kila mwaka ya Igogo huko Owo inaadhimishwa kwa heshima yake.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Abiodun, Roland (29 Septemba 2014). Yoruba Art and Language: Seeking the African in African Art. Chuo Kikuu cha Cambridge. uk. 409. ISBN 9781107047440. Iliwekwa mnamo Juni 3, 2015. 
  2. Benard, Elisabeth; Moon, Beverly (21 Septemba 2000). Goddesses Who Rule. ISBN 9780195352948. Iliwekwa mnamo Juni 28, 2015. 
  3. Dinner with Demons (Illusion of Rainbows). ISBN 9781434958228. Iliwekwa mnamo Juni 28, 2015. 
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.