Makubaliano ya Escazú

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makubaliano ya Escazú kikanda ya kupata taarifa, ushirikishwaji wa umma na haki kuhusiana na masuala ya kimazingira huko Amerika ya Kilatini na Visiwa vya Karibi ijulikanayo kama Makubaliano ya Encanzu ni mkataba wa kimataifa uliosainiwa na 25 Amerika ya Kilatini na Visiwa vya Karibi unaohusiana na haki ya kupata taarifa kuhusiana na maswala ya kimazingira, ushirikishwaji wa umma kwenye kufanya maamuzi yanayohusu mazingira, haki ya mazingira na mazingira yenye afya na toshelevu kwa vizazi vya sasa na baadaye.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Regional Agreement on Access to Information, Public Participation and Justice in Environmental Matters in Latin America and the Caribbean". CEPAL. 4 March 2018. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-06. Iliwekwa mnamo 20 April 2021.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)