Majadiliano ya mtumiaji:SameboyA

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ndugu Same, karibu sana katika Wikipedia ya Kiswahili! Ukiwa na swali, uliza tu. Sana, sana utaniona mimi Muddyb, Riccardo, Kipala au Baba Tabita tu-tuyari kukusaidia.. Nimeona makala yako ya Lulu, mwanzo mzuri kwa kuanzia.. Haya, ngoja nikarekebishe viwili vitatu. Hasa lile sanduku la habari si lenyewe... Kutoka Buguruni, Dar es Salaam, Tanzania, mimi ndimi wako Muddyb au--MwanaharakatiLonga 03:52, 13 Agosti 2016 (UTC) [jibu]