Majadiliano ya mtumiaji:Mudux01

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Karibu Mudux01[hariri chanzo]

Karibu sana na Hos geldiniz! (au kitu kama hiki, sivyo?). Kumbe kuna Waswahili hata Bosphorus! --Kipala 18:36, 15 May 2006 (UTC)

Nishakaribia ndugu kipala[hariri chanzo]

Hoş bulduk! hata mimi nipigwa na butwa kupata mwenzangu anaefahamu mbili tatu za Uturuki. --mudux01

Vipi Swahili Location Project[hariri chanzo]

Mahmoud, habari gani. Ukiwa mpenzi hasa wa mambo ya kompyuta - vipi ukiandika kuhusu matoleo ya Windows, Office, linux na open office kwa Kiswahili? Pamoja na ile Open Swahili Localization Project (mahalilisho???). Pia -ilhali tulio wengi hapa si Waafrika- kwanini usiandike kitu kidogo juu ya mji ulipozaliwa (au kijiji chako - au: kijiji cha babako) ? http://www.kilinux.udsm.ac.tz/ http://www.openoffice.org/editorial/interview_alberto_escudero.html --Kipala 10:16, 27 May 2006 (UTC)