Majadiliano ya mtumiaji:Mitch1981

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu Nd. Mitch1981 katika Wikipedia ya Kiswahili. Umeona kwamba angalau uje pale ambapo umezaliwa? Basi jisikie huru kuchangia makala za Wikipedia yetu! Ukiwa una swali, basi we uliza tu! Mimi yule mdogo wako mpendwa "Muddyb" au,--Muddyb MwanaharakatiLonga 06:28, 26 Oktoba 2009 (UTC)Reply[jibu]