Majadiliano ya mtumiaji:MagyarFiatalember
Mandhari
Karibu Nd. MagyarFiatalember katika Wikipedia ya Kiswahili! Tunafurahia kuona kila mmoja akiingia na kujiunga nasi. Hapa ni sehemu ya kutunga kamusi elezo huru, unaweza kuanzisha makala, kusahihisha na kuongezea baadhi ya mambo ambayo utayaona hayapo katika makala. Unaweze kupata msaada wa kuanzisha makala kwa kubofya hapa, ukiwa una swali we uliza tu utajibiwa!--Mwanaharakati (majadiliano) 06:44, 9 Aprili 2008 (UTC)