Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Llenx

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Linex, karibu katika Wikipedia ya Kiswahili. Nimependa sana makala yako ya Edgar. Umefanya vyema sana kwa mtu mgeni katika Wikipedia. Unakaribishwa kutunga makala nyingine nyingi tu muda wote. Ni furaha yetu kuona unaendelea nasi katika kuendeleza gurudumu hili. Wako Muddyb au,--MwanaharakatiLonga 05:59, 31 Mei 2013 (UTC) [jibu]