Majadiliano ya mtumiaji:Kkaroma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kai salaam na karibu sana kwenye wikipedia yetu!!! Naona utapata baadaye ukaribisho rasmi kwa sasa napenda kusema ni vema kuwa na Mswahili mwenyewe hapa kwetu (nategemea hutamwaga kwetu google-tanslate isiyonyoshwa!!). Naongeza ombi maalumu: pamoja na yote uliyopanga Je unaonaje ukitazama makala fupi ya mahali unapotoka na kutia chumvi kidogo afadhali hata mboga!) ? Unaweza kuingia katika Jamii:Mbegu za jiografia ya Tanzania uchague mkoa, wilaya halafu kata unapotoka halafu hariri kata ya nyumbani! --Kipala (majadiliano) 10:58, 29 Novemba 2009 (UTC)