Majadiliano ya mtumiaji:CarlHinton

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salamu Carl, naona umeingia katika wikipedia hii kwa mbio. Karibu! Twamfurahia kila mmoja anayejiunga nasi kwa sababu tuko wachache.

Hata hivyo naomba utafakari upya mtindo wako wa kufanya kazi! Ninavyoona umechukua maandiko kutoka tovuti yako ya Swahili Christadelphian Articles/Bible Commentary na kuiweka moja kwa moja katika wikipedia.

Hapo nimeona matatizo matatu:

  1. Mara nyingo umbo la andiko halilingani na masharti ya kamusi elezo. Kuna muundo katika wikipedia unaomsaidia msomaji kuelewa vema makala inahusu nini.
  2. Mara kwa mara kuna lugha ya kidhehebu. Kamusi elezo ina kazi ya kueleza mada na pia kuonyesha mawazo yenye maana juu ya maada hiyo. Wewe umenakili kutoka tovuti ya kidini inayotaka kuhubiri ukweli wa imani. Wikipedia si nafasi ya mahubiri.
  3. Mara kadhaa umenakili andiko lako katika makala bila kujali ni nini kilichoandikwa mle tayari. Kwa hiyo kuna marudio-marudio bila maana.

Ombi langu: Usiendelee jinsi ulivyoanza. Jaribu kufahamu kusudi na mtindo wa wikipedia. Hapa si mahali kwa kusambaza mambo ya binafsi. Hata hivyo naona maelezo juu ya vitabu vya Biblia katika tovuti yako yana habari nyingi za maana zinazoweza kuboresha kamusi hii. Ila tu haifai ktupa andiko hivihivi. Ukiwa na swali tuko tayari kushauriana nawe na kusaidiana. --Kipala (majadiliano) 08:52, 2 Julai 2008 (UTC)[jibu]


Hi Carl, after your post on my talk page I am not sure if you understood the words above. I gave you a welcome and said we are happy about every one who joins our team. At the same time I asked you to consider the way you have been contributing. You started very fast setting up a lot of articles. Obviously you copied most (all?) of the text from a webpage you are responsible for at Swahili Christadelphian Articles/Bible Commentary. So I see three problems:
  1. in that fast start you have not yet got used to the formal requirements of a wiki-Article. (i.e. state clearly in the beginning what the article is about, follow the advice on Msaada wa kuanzisha makala). Usually we point every new user to this advice but you were a bit fast! It is very obvious that a text from somewhere does not make an encyclopedia article just because it is entered into wikipedia.
  2. you are using religious language from the author's point of view (yaani kuligana na dhehebu lake la kidini - hivyo "kidhehebu"). You copy from a book that propagates a specific religious point of view. That is not what a reader is looking for in an encyclopedia like wikipedia. We have to be on the outlook against this; otherwise we firstly cannot build an encyclopedia and secondly we are inviting lots of trouble; imagine a wellmeaning Muslim author using wikipedia to explain that Yesus never died on the cross, an equally wellmeaning creationist using another Genesis article to point out that the seven days must be read literally and another wellmeaning atheist telling everybody that God has been proven to be a delusion. That gives us a mess or even worse a mess plus edits wars over and over. We do need articles even on religious topics that inform about things which can be agreed upon to be facts and else introducing / describing /mentioning relevant views on a topic (i.e. also that many Muslims believe Jesus did not die on the Cross, creationists believe the seven days to be read literally and that Dawkins thinks faith in God is a delusion BUT NOT PROPAGATING these views.)
  3. a third problem is that as you try to copy content from your website to this wikipedia you have added on some articles without caring about existing content which does not enhance the quality. -By the way: I do hope you have author's consent to set up his text as "Free-content" - which is not necessarily the case if he allowed you to publish it on your website which is not open like wikipedia.
So I asked you Not to continue as you have started but to take some time and get familiar with wikipedia first. There is helpful information in the texts you uploaded which looks good but a number of articles rather are not and might be erased. So I requested you not to keep on dumping copied text and told you that we others on this site are ready for consultation and advice. I hope this answers the questions you have raised so far. (And: Kindly do not forget to sign your entries - 10th button from the left it should be in the top menu - otherwise just write --~~~~) --Kipala (majadiliano) 13:56, 5 Julai 2008 (UTC)[jibu]