Majadiliano ya mtumiaji:71.7.174.179

  Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

  Salaam, Bwana naomba ujiandikishe (fungua akaunti) ili tupate kuwasiliana. Ninashukuru kuona ya kwamba unapenda kushiriki na kuboresdha makala. Kwa bahati mbaya michango mengi ina makosa. Kwa hiyo tuko tayari kukupa mwongozo ili michango yako yaboreshwe. Ila tu ukiendelea vile nitapaswa kukubana hapa. Maana jinsi ilivyo ni kazi nyingi kusafisha. Kipala (majadiliano) 08:04, 20 Septemba 2014 (UTC)Reply[jibu]

  Rafiki hujafuata ombi langu (au hujasoma hapa?) - kwa bahati mbaya napaswa kukuzuia sasa. Idadi kubwa ya hariri zako hazifai jinsi zilivyo. 23:08, 2 Novemba 2014 (UTC)

  Huu ni ukurasa wa majadiliano kwa mtumiaji asiyejulikana ambaye bado hajafungua akaunti, au ambaye haitumii. 
  

  Kwa hivyo inatubidi kutumia anwani ya IP ya nambari ili kuwatambua. Anwani kama hiyo ya IP inaweza kushirikiwa na watumiaji kadhaa. Ikiwa wewe ni mtumiaji asiyejulikana na unahisi kuwa maoni yasiyo na maana yameelekezwa kwako, tafadhali fungua akaunti au ingia ili kuepuka kuchanganyikiwa kwa watumiaji katika siku za usoni na wengine wasiojulikana.