Majadiliano ya kigezo:PD-self

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jaribio na mjadala mkuu[hariri chanzo]

Isiyobadilishwa[hariri chanzo]

Hii ni template husika isiyo na tafsiri yeyote ile. Labda tuitazame kisha tutoe hukumu juu yake!

Maelezo[hariri chanzo]

Kuhusu ile sehemu ya kutaja lugha, sio lazima ionekane kwani hata katika mawikipedia mengine inaonekana kuwa haipo. Ile ipo katika Commons tu, basi. Kuhusu tafsri, kuna kitu ulisahau kuweka (kiungo kuelekeza kwa Public Domain). Labda utazame tena kisha uisahihishe. Kingine kuna maneno kama This applies worldwide. Inakuwaje?--Mwanaharakati (Longa) 07:43, 31 Oktoba 2008 (UTC)[jibu]