Majadiliano ya kigezo:Mikoa ya Tanzania

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nimeona heri kubadilisha majina ya mikoa visiwani. Hata kama si majina rasmi, itasaidia zaidi kuyatafuta majina yale ndani ya orodha, yako pamoja sasa kila kisiwa. --Kipala 23:11, 9 Februari 2006 (UTC)Reply[jibu]