Majadiliano ya kigezo:Mikoa ya Kenya
Mandhari
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha kigezo ya Mikoa ya Kenya. | |||
---|---|---|---|
|
Hii kigezo Mikoa ya Kenya ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Vigezo, a collaborative effort to better organize, document and display all vigezo kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
Kwa ajili ya fomu hizi za aina za "template" zinazohusu mikoa au maeneo ya kiutawala ndani ya nchi fulani tunahitaji utaratibu. Majina ya mikoa itarudia kwa mfano "Kusini, mashariki" n.k. Tumeanza kitu hiki Tanzania tumeshakamilisha. Tukianza sasa Kenya naona majina yanarudia (kwa mfano: Pwani; .
Kwa sababu hii tufuate muundo ufuatao: Tukiweka jina la mkoa, jombo n.k. linaloonekana linaweza kurudiwa tuongeze jina la nchi kwa mabano. Tukianzisha templeti mpya na kuona jina linarudia limewahi kutumiwa kwa nchi fulani tayari basi tuongeze sasa mara ya pili nchi kwa mabano. --Kipala 20:52, 5 Machi 2006 (UTC)