Majadiliano ya kigezo:Filamu
Kuendeleza templeti hii
[hariri chanzo]Templeti hii yatakiwa mabadiliko yafuatayo:
katika sehemu ya chini (ukurasa wa hariri) maneno katika mabano ya {{ yatakiwa kubadilishwa kwa maneno ya Kiswahili.
Template Filamu
Habari Nd. Kipala, Sijaelewa kidogo pale nini kinachotakiwa kulingana, kama ikiwa ni producer inabidi iandikwe (Imetayarishwa na), sizani kama lingine zaidi ya hilo ikiwa lile neno la producer au? unasemaje mkubwa wangu.--Muddyb Producer 13:15, 8 Oktoba 2007 (UTC)
- sasa kwanza tafsiri templeti. Ni vema kuelewa uhusiano kati ya pande mbili:
- a) templeti yenyewe unapoandaa muundo wa sanduku
- b) sehemu ya yaliyomo ya sanduku inayoonekana juu ni ile inayonakiliwa katika ukuraa wa makala na kujazwa nafasi baada ya "="
Templeti yenyewe ni sehemu ya chini yenye maneno mengi ndani ya mabano ya }}}. Hapo unaingiza maneno ya Kiswahili badala ya maneno ya Kiingereza.
Maneno unayochagua sharti yalingane na ile inayoandikwa juu katika sehemu ya sanduku itakayoingizwa kwenye ukurasa. (au: unachoandika juu kwenye sehemu kwa ajili ya ukuasa wa makala lazima kulingana na yale yaliyopo kwenye templeti yenyewe.)
Kwa hiyo: maliza tafsiri, hifadhi yote na jaribu kuingiza sanduku katia nakala moja. Kama matatizo yanaonekana (ni kawaida) basi kazi ni kuchungulia wapi umeongeza au kufuta nukta inayovuruga yote. Pole - ila tu hakuna keki bila kuvunja mayai. --Kipala 13:25, 8 Oktoba 2007 (UTC)
KICHEKO TU, yale maandishi yanatakiwa wewe ndio uyaweke sawa mimi nilitoa kama mfano tu, ikiwa kuna badilisho lolote lile basi lifanyike mara moja.--Muddyb Blast Producer 13:39, 8 Oktoba 2007 (UTC)
Maarifa Madogo
[hariri chanzo]Ile kurasa naona kichina, kiarabu na kijerumani yaani si ambui kitu kabisaa zile HTML zina niletea utata na huu uhaba wangu wa fikra ndio kabisaa nitatoka na galasa, Lakini nitajaribu tena kesho asubuhi manake kwa sasa nina swaumu kali (Hungry in Islam Belief- Swaumu), hivyo mungu akijalia kesho. --Muddyb Blast Producer 13:57, 8 Oktoba 2007 (UTC)
- Sina uhakika tatizo ni ipi. Nimejaribu kidogo lakini sijapata nafuu bado. Ushauri: Utumie mfano wa templeti inayofanya kazi kwetu sw:wiki- kwa mfano elementi. Mimi ningefungua hii, kuinakili katika ukurasa wa word, na kubadilisha maneno yake. Kuongeza kipengele ni rahisi, unatangulia kwa kuweka kilekile cha mfano mara mbioli au mara tatu hata nne na kuandika chako juu yake. Muhimu ni: usibadilishe muundo na mabano. Pole sana ! --Kipala 06:48, 9 Oktoba 2007 (UTC)
- ushauri wa pili: Mimi nikifanya kazi ya templeti naanzisha kwanza ukurasa wa word naweka jedwali lenye nguzo mbili. Ninanakili mfano katika kila nguzo. Moja inabaki ilivyo nyingine ni kazi yangu. Upande moja ni kazi yangu (kwa mfano templeti mpya ya filamu), upande mwingine ni mfano (templeti elementi) . Hii inarahisisha kazi kulinganisha ni wapi kosa limejitokeza. MUHIMU: Usinakili kutoka jedwali moja kwa moja kwenda internet (itavuruga picha kabisa), nakili kwanza katika word kutoka jedwali kwenye ukurasa wa kawaida halafu kutoka hapa katika "hariri" ya wikipedia. --Kipala 06:48, 9 Oktoba 2007 (UTC)
- Nafwa, Asubuhi nimeingia tu kazini sijafungua hata jalada la kazi nikafungua jalada la filamu la wikipedia kurekebisha ile template lakini bado habari ikawa nzito kwa upande fulani. Ikiwa pilika nyingi nimefanya lakini bado narudi pale pale mimi nina uhaba wa fikra katika HTML ndugu yangu wee!! hivyo fanya msaada au nijaribu tena kwenye ile ya element. --Muddyb Blast Producer 08:25, 9 Oktoba 2007 (UTC)
Templeti yenyewe ilikuwa safi kabisa! Hongera! Tatizo tu katika jedwali ndogo linaloingia katika makala. Hapa ni sharti kuwa maneno ya mabano yarudiwe katika jedwali dogo kikamilifu. Tena bila kuacha kipengele. Sasa nimesahihisha. Angalia mfano wa Bruce Lee (sijaona makal ya filamu) nimetumia huko kwa jaribio naomba usafishe futa baadaye.
Sasa angalia,jaribisha kwenye makala ya mfano Ukitaka kusahihisha mafuatanao fanya tu. Ukiona baadaye tena mabano ya }}} katika makala umeshajua ya kwamba jedwali dogo ina kosa. --Kipala 12:48, 9 Oktoba 2007 (UTC)
::::Kipala utaniuwa kichwa chote kinaniuma kwa kujaribu kuunda ile template. kwa pale nilipofikia naomba tena msaada vinginevyo nitaumbuka manake sasa niko nafanya kazi ya TRA mapaka baadae kidoogo nitajaribu, lakini naomba mzee kipala rekebisha tu hao palipo baki kisha hizo template zingine nitakuwa nafanya mwenyewe sito omba tena msaada bali nitaomba masahihisho, hivyo naomba nirekebishie tu hii template !! mtoto kwa baba akui mzee. --Muddyb Blast Producer 13:33, 9 Oktoba 2007 (UTC)
- Sasa Muddy acha haya ya baba! Naomba ingiza jedwali fupi la juu katika makala yoyote ya filamu na angalia. Tumefika mahali ambako ni lazima kuangalia templeti kazini. Baadaye tuongee kuhusu masahihisho! Nimekumbuka bado kitu kimoja (rangi) nasahihisha halafu ni wewe kuijaribu. Tuongee baadaye.
Sawa mkubwa--Muddyb Blast Producer 13:49, 9 Oktoba 2007 (UTC)
- Sasa Muddy acha haya ya baba! Naomba ingiza jedwali fupi la juu katika makala yoyote ya filamu na angalia. Tumefika mahali ambako ni lazima kuangalia templeti kazini. Baadaye tuongee kuhusu masahihisho! Nimekumbuka bado kitu kimoja (rangi) nasahihisha halafu ni wewe kuijaribu. Tuongee baadaye.