Majadiliano ya kigezo:Chanzo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Asante Kipala kwa kutengeneza kigezo hiki, kina matumizi mengi hasa katika kuwakumbusha wale wasiotaja vyanzo vya habari wanazoandika katika Wikipedia.Jadnapac (majadiliano) 22:19, 8 Desemba 2019 (UTC)[jibu]