Majadiliano ya jamii:Watungaji wa Muziki

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nimegundua jamii mbili ambazo ni sawa, yaani hii ya Watungaji wa Muziki, halafu nyingine ya Watunzi. Je, tutumie ipi? --Oliver Stegen (majadiliano) 21:01, 22 Machi 2008 (UTC)[jibu]

Habari yako Baba Tabita. Watunzi ni lugha sahihi! Vilevile watungaji ni sahihi pia! Ila tu watungaji ni ndefu mno, wewe mwenyewe unahiyari yako katika uchaguzi. Chagua unayoiona bora kati ya hizo mbili..--Mwanaharakati (majadiliano) 07:32, 25 Machi 2008 (UTC)[jibu]