Majadiliano ya jamii:Viongozi wa Kikristo
Mandhari
Inabidi kupanua orodha ya viongozi wa dini kama viongozi wa ki-Hindu au Ki-protestanti au Kipentekoste, tafadhali hariri.--Mwidimi (majadiliano) 14:42, 14 Julai 2008 (UTC)MN
- Tuko wikipedia, Bwana Mwidimi. Hapa unakuta makala juu ya viongozi wa dini ya kikristo zilizopo katika wiki hii. Ukipenda kuongeza viongozi wa dini mbalimbali fanya! Halafu ukaunde jamii ya kufaa utawaona. Orodha inaongezxeka kwa kuandika makala. Karibu tu! --Kipala (majadiliano) 14:39, 26 Julai 2008 (UTC)