Majadiliano ya jamii:Vijisehemu nchi kwa nchi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hilo neno "vijisehemu" linamaanisha sehemu ndogondogo kabisa: halifai hasa kwa mikoa na wilaya. Neno sahihi ni ma-gatuzi. Mnasemaje? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:18, 16 Septemba 2017 (UTC)[jibu]

Sijapata jibu lolote hadi leo. Mnasemaje? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:01, 27 Septemba 2021 (UTC)[jibu]