Majadiliano ya jamii:Mikoa ya Tanzania

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ninavyoelewa serikali ya Tanzania wamepanga kuondoa eneo la tarafa (kwa Kiingereza ni Division). Chini ya wilaya (District) kutakuwa na shehia tu (Ward zilizoitwa kata mpaka mwaka juzi). Mkikubali naomba tutoe jina la tarafa na kutumia shehia, hasa katika marejeo ya sensa ya mwaka wa 2002 [1]. Asante --Oliver Stegen 23:27, 10 Oktoba 2006 (UTC)[jibu]

Ninavyoelewa Shehia ni kitu kilekile kama "Ward" au "Kata" ila tu ni jina lililo kawaida Zanzibar.--Kipala (majadiliano) 14:34, 20 Septemba 2008 (UTC)[jibu]