Majadiliano ya jamii:Hifadhi la Taifa Tanzania

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Naomba yafanywe masahihisho katika namna ya kutaja jina la hifadhi. Sio "Hifadhi la Taifa Tanzania". Ni "Hifadhi ya Taifa Tanzania". Ihamishwe kama inawezekana!--Mwanaharakati (Longa) 14:28, 25 Novemba 2008 (UTC)[jibu]