Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya Wikipedia:Upload

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nimejaribu KU-REDIRECT kurasa hii kwenda kwa special:upload, lakini hailekei moja kwa moja. Sasa sijafahamu tatizo ni nini hasa. Naomba kati yetu ashughulike hili. Ikishindikana tuombe msaada zaidi..--Mwanaharakati (majadiliano) 09:21, 15 Machi 2008 (UTC)[jibu]