Majadiliano:Wabembe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wabembe ni kabila la kikongomani ambalo lina makao yake Fizi, katika Kivu ya kusini D.R.Kongo. Pia ni moja kati ya makabila yaliyo sambaratika Dunia nzima. Wabembe wanapatikana Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Kongo-Brazzaville, Kigoma Tanzania, Burundi na zehemu zenginezo kama U.S.A.