Majadiliano:Vipimo asilia vya Kiswahili
Mandhari
Maneno yanayosahauliwa?
[hariri chanzo]Baada ya kumaliza makala nimeongea leo hii na vijana nikiwauliza kama wameshwahi kusikia maneno kama Wanda, Morta au Shibiri. Hapana. Hawakusikia. Basi nitakapofika Dar nitafanya jaribio, sokoni nitajaribu kununua machungwa, ratili moja hivi. Tuone! Kipala (majadiliano) 20:40, 28 Machi 2017 (UTC)