Majadiliano:Vipaji vya Roho Mtakatifu
Mandhari
Umbo
[hariri chanzo]Nimeweka kigezo cha {{umbo}} kwa vile orodha ina viungo vyekundu tu. Tena, hakuna marejeo kwa vyanzo vya vipaji katika Biblia wala maelezo ya kutosha katika aya za kila kipaji. --Baba Tabita (majadiliano) 15:27, 28 Juni 2011 (UTC)