Majadiliano:Uwanja wa michezo wa 15 Oktoba
Mandhari
Lugha??
[hariri chanzo]"Uwanja huo uliandaa mechi za Kombe la Mataifa ya Afrika 2004, ambayo pia imeshinda na timu ya mpira wa miguu ya Tunisia | Timu ya Tunisia, lakini kawaida hutumiwa na CA Bizertin. " Je maana yake ni nini??? Halafu " (Lang-fr | Stade 15 Octobre)" ni takataka kutoka google-translate, vilevile ya Tunisia | Timu ya Tunisia,.
Haina interwiki (nimeungaisha sasa). Katika infobox kuna picha inayoweza kutumika, pia marejeo. Mtumie! Kipala (majadiliano) 13:00, 11 Juni 2021 (UTC)