Majadiliano:Utawala wa Kijiji - Tanzania
Mandhari
Makala inakosa kichwa cha msingi amabacho kila makala inatakiwa iwe nacho. Kichwa hicho ni pamoja na kutaja nini "Utawala wa Kijiji - Tanzania" halafu maelezo mafupi kwa ajili ya mwongozo au husisho la makala hii. Pia, makala haina hata jamii au category. Angalau angeweka hata jamii:Tanzania ingeleta maana zaidi. Inahitaji kurekebishwa.-- MwanaharakatiLonga 15:03, 17 Desemba 2009 (UTC)
- Ewaa! Sasa hapo makala inaeleweka. Kila makala inatakiwa ianze na "JINA LA MAKALA" ni jinsi kadha-kadha-kadha... Basi ndugu umefaulu kwa hili. Kingine, sidhani kama ile JAMII ya DEMOKRASIA pale ni mahali pake. Labda ungetumia Tanzania tu, basi. Labda ingeleta maana zaidi! Hongera!--MwanaharakatiLonga 17:17, 30 Desemba 2009 (UTC)